JUMATATU ijayo Oktoba 14, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, anatimiza miaka 25 tangu kufariki dunia, licha ya kutwaliwa, ameacha hazina ya tunu ambazo haziwezi kuchakaa au kumaliza muda wa matumizi.
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, anaendelea kuchanja mbuga kunadi sera na Ilani ya Uchaguzi, akiomba ridhaa Watanzania kumwamini kwa mara nyingine kuongoza nchi katika ...
Na ingawa teknolojia ya Akili Mnemba AI inatoa matarajio ya kuongeza trilioni kwa Pato la Taifa la Dunia (GDP), Katibu Mkuu wa UNCTAD ameongeza kuwa chini ya nchi moja kati ya tatu zinazoendelea zina ...